BANDA MEDIA BLOG

DANIEL STURRIDGE KUANZA KATIKA MCHEZO WA UINGEREZA DHIDI YA UHOLANZI

Daniel Sturridge ataanza katika kikosi cha taifa cha Uingereza kwa mara ya kwanza tangu kupita miezi 18 wakati wakiikaribisha Uholanzi katika dimba la Wembley hii leo.

Mshambuliaji huyo wa timu ya Liverpool, amekosa michezo yote ya kuwania kufuzu michuano ya Euro 2016 kutokana na kuwa majeruhi.

Kocha Roy Hodgson anatarajia kufanya mabadiliko ya kikosi kilichocheza jumamosi na kushinda mabao 3-2 dhidi ya Ujerumani, huku kipa Fraser Forster akitarajia kuwa langoni hii leo.
              Daniel Sturridge akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Uingereza

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG