MASHABIKI WA SIMBA YA TZ NA SIMBA YA RWANDA WAUNGANA KUISAPOTI APR
byJohn Banda-
0
Mashabiki wa Simba ya Bongo wameungana na wale wa APR ambao nembo ya
klabu yao ina picha ya Simba wameungana kwa pamoja kuishangilia timu ya
APR FC ya Rwanda wakati ikicheza dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa klabu
bingwa Afrika. Simba ya Tanzania na Simba ya Rwanda kwenye muungano uwanja wa Amahoro jionii hii wakati wa mchezo wa APR dhidi ya YangaWanajeshi wa jeshi la Rwanda wakiwa uwanjani kuwashihudia wanajeshi wenzao wakicheza dhidi ya YangaMashabiki wa Yanga waliosafiri na timu kwenda kuishangilia Kigali,Rwanda