Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye
ibada ya kumuombea marehemu Mama Celina Akilimali kwenye kanisa katoliki
la Chang’ombe .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitoa
heshima za mwisho kwa marehemu Mama Celina Mfala Akilimali ambaye ni
mama wa Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM Bi. Angel Akilimali kwenye kanisa
katoliki la Chang’ombe .
katoliki la Chang’ombe .
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa pamoja na Mwenyekiti wa bodi
ya Uhuru Media Alhaji Adam Kimbisa kwenye makaburi ya kinondoni wakati
wa mazishi ya Mama Celina Mfala Akilimali ambaye ni mama mzazi wa Kaimu
Mkurugenzi wa Uhuru FM B. Angela Akilimali.
Kaimu
Mkurugenzi wa Uhuru FM Bi. Angel Akilimali (kushoto)akiwa na mtoto wake
pamoja na mumewe wakiweka udongo kwenye kaburi la mama yake marehemu
Celina Akilimali.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye
kaburi la marehemu Celina Akilimali mama mzazi wa Kaimu Mkurugenzi wa
Uhuru FM Bi. Angel Akilimali.
Mwenyekiti
wa bodi ya Uhuru Alhaji Adam Kimbisa akiweka shada la maua kwenye
kaburi la marehemu Celina Mfala Akilimali , mama mzazi wa Kaimu
Mkurugenzi wa Uhuru FM .
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na watangazaji wa radio
Uhuru FM waliojitokeza kwenye mazishi ya mama Celina Akilimali, mama wa
Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali kwenye makaburi ya
kinondoni jijini Dar es Salaam.
Tags
HABARI KITAIFA