BANDA MEDIA BLOG

WIZARA YA AFYA YATANGAZA MKOA WA DODOMA KUWA WA PILI KWA MAAMBUKIZI MAPYA YA KIPINDUPINDU, WHO WAAHIDI KUSAIDIA, HUKU VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI WAKITAKIWA KUTOZEMBEA KWENYE MAPAMBANO

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospatal ya Mkoa wa Dodoma Dkt, Nassol Mzee akifafanua Jambo kwenye kikao hicho
Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma akifungua Kikao cha wadau wa Afya mjini Dodoma jana
Mkurugenzi wa Magonjwa ya mlipuko wa Wizara ya Afya Janeth Mghamba akiongea jamba wakati alipokuwa akisoma Takwimu za Ugonjwa wa Kipindupindu ambapo Dodoma ni mkoa wa pili kwa maambukizo mapya ukiongozwa na Mkoa wa Mara. IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Wadau wa Afya

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Rufaro Chatora akizungumza katika kikao hicho cha kutengeneza  mkakati wa kutokomeza ugonjwa wa Kipindupindu ambacho bado ni tishio
Mwakilishi wa WHO Rufaro Kitara na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Gallawa wakifungua Boksi lenye vidonge vya Kuua vimelea vya kipindupindu


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG