Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini TanzaniaBalozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za Kipindupindu Zanzibar.
Balozi Jasem Al-Najem, akiwasili katika viwanja vya Wizara ya Afya Zanzibar kwa ajili ya kukabidhi Msaada wa Madawa na Maji.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem
Al-Najem, akisalimiana na Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil
Mohammed wakati wa hafla ya kukabidhi Madawa na Maji kwa ajili ya Kambi
za Kipindupindu Zanzibar.
Balozi Jasem
Al-Najem, akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar kabla ya
kuaza kwa hafla ya kukabidhi Madawa na Maji kwa Ajili ya Kambi za
Kipindupindu Zanzibar.
Balozi Jasem
Al-Najem, akisoma bango lilliloandikwa ujumbe wa hafla hiyo kwa
viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar kabla ya kuaza hafla hiyo ya
kukabidhi madawa na maji. kushoto Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe
Harusi Said na Naibu Katibu Mkuu Halima Maulid.
Tags
HABARI KITAIFA