Kushoto ni Meneja wa kituo cha Radio cha 91.9 HHC ALIVE cha Jijini Mwanza, Maganga James Gwensaga,
akizungumza katika tamasha la kusaka Vipaji vya Utangazaji (HHC ALIVE
TALENT SEARCH 2016) lilizofanyika katika Kanisa la HHC Cathedral,
Ilemela Mkoani Mwanza.
Watangazaji
chipukizi, Hellen Jerome, Ibrahim Mgaya pamoja na Deophinius Salvatory,
wameibuka kidedea katika tamasha la kusaka Vipaji vya Utangazaji
lililoandaliwa na kituo cha redio cha 91.9 HHC Alive cha Jijini Mwanza.
Picha zaidi BONYEZA HAPA
Tags
KIBURUDANI