BANDA MEDIA BLOG

Video: SHAFFIH DAUDA AKIRIPOTI MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA KOCHA WA ATLETICO TOKA MILAN


IMG-20160526-WA0033
Nipo hapa mjini Milan kuhakikisha mdau na msomaji wangu wa shaffihdauda.co.tz haupitwi na tukio hata moja la kimichezo ambalo litajiri hapa kuelekea mchezo wa fainali ya Champions League itakayopigwa kesho kati ya Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid kwenye uwanja wa San Siro.
Leo kocha wa Atletico akiwa pamoja na nahodha wake Gabi pamoja na Fernando Torres walikutana na waandishi wa habari kuzungumzia mchezo wao wa kesho, maandalizi na mipango yao dhidi ya Madrid.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG