| Afsa Masoko Mwandamizi wa Shirika la viwango TBS Gladiness Kisaka akizungumza jambo kwenye maonyesho yaliyoandaliwa na SIDO katika viwanja vya mashujaa mjini Dodoma |
| Afsa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Viwango Tanzania Gradiness Kisoka akizungumza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kushoto ni Afsa udhiti viwango wa TBS Zainab Mzilai |
| Baadhi ya watembeleaji wa maonyesho ya SIDO yanayofanyika katika viwanja vya mashujaa mjini Dodoma wakisoma vipeperushi katika Banda la TBS |
| Banda la TRA |
| Banda la Benki ya NMB |
Tags
HABARI KITAIFA