MHE. WAZIRI MKUU MSTAAFU PETER KAYANZA PINZA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MCHEPUO WA KIINGEREZA
byJohn Banda-
0
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Glorius Nkinda ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika
shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe,
Kigamboni Wilayani Temeke wakati akijibu swali la Hesabu alilomuuliza.
Mhe. Pinda alitembelea shule hiyo hivi karibuni kwa ajili ya kuwasalimiawanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiongea na wanafunziwa
darasa la kwanza wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi
iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipoitembelea shule
hiyo hivi karibuni ili kuwasalimiawanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Kelvin Agustino
mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa
Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke
alipokuwa akisoma kitabu cha Kiingereza wakati alipoitembelea shule hiyo
hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa
shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi
iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule
hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.

Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwa katika picha ya pamoja na
walimu pamoja na wanafunzi wa darasa la tatu wakati alipoitembelea
shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe,
Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni
ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.