BANDA MEDIA BLOG

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. JORDAN RUGIMBANA AMEANZA KUSHUGHULIKIA MGOGORO BAINA YA WANANCHI WA KIJIJI CHA IKENGWA KONDOA NA PORI LA AKIBA LA MKUNGUNERO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana (aliyesimama) akiwaonesha Wananchi wa Kijiji cha Ikengwa Kondoa Naakala ya tangazo la Serikali lililotangaza pori la akiba la Mkungunero wakati wa mkutano wa kujadili mgogoro baina ya wanachi hao na pori la akiba katikati ya Wiki 
 Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Shaban Kissu (aliyesimama) akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ikengwa Kondoa juu ya mgogoro baina yao na pori la akiba la Mkungunero wakati wa mkutano ulioitishwa na Mkuu wa Mkoa huo katikati ya Wiki

Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Ikengwa Kondoa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Dodoma (hayupo pichani) wakati akizungumza nao juu ya namna ya kumaliza mgogoro baina yao na katikati ya Wiki


Wakina mama wa jamii ya kibarbaigi wa kijiji cha Ikengwa Kondoa wakimshukuru Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana baada ya kufurahishwa na makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano wa hadhara ya kutafutiwa maeneo mengine ya makazi, kilimo na mifugo kwa lengo la kumaliza mgogoro wa wananchi hao na pori la Mkungunero.
 





Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG