HomeSIASA Mwakyembe Awamaliza CHADEMA Bungeni! byJohn Banda -Wednesday, June 08, 2016 0 Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder! Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema! Tags SIASA Facebook Twitter