HomeKIMATAIFA HATIMAYE Mwanariadha Kilema wa South Africa Oscar Pistorius Ahukumiwa Kwenda Jela Kwa Mauaji byJohn Banda -Wednesday, July 06, 2016 0 Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, leo amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa kosa la kumuua mpenzi wake. Alimuua kwa kumpiga risasi mchumba wake, Reeva Steenkamp miaka mitatu iliyopita Tags KIMATAIFA Facebook Twitter