Rais Paul Kagame: Nikiwa Tanzania najisikia nipo Nyumbani, HAPA KAZI TU - Tuendelee na kazi
byJohn Banda-
0
Raisi wa Rwanda mh. Paul Kagame akihutubia katika maonyesho ya sabasaba
amesema muda wote anapokua Tanzania anajisikia yupo nyumbani na kusema
sera ya hapa kazi tu na kuongeza kuwa tuendelee na kazi.