Msanii wa kuchekesha Idris Sultan amejitoa Rasmi katika mtandao wa
kijamii wa Instagram baada ya kinachosemekana kuwa ni maji kumfika
shingoni. Watu wa karibu wa Idris wanasema kuwa Mchekeshaji huyo maarufu
Tz amekerwa na tabia ya mashabiki wake kumuita Shemeji wakati yeye Kula
hali. Mmmmmh..!
Amesema kwamba yeye ana jina lake na kama angejua kama haya yote yatatokea leo basi asingekubali toka mwanzo kuitwa shemeji, amekasirishwa sana na matusi anayotukanwa pindi akiwaposti wanawake wengine hata dada zake. Pia wapo waliodai kuwa anatafuta kiki na anamuiga Justine Beiber kwasababu siku sio nyingi ataifungua tena na kuendelea na vichekesho vyake kama kawa.
Haya sasa Wenye shemeji mpo?

X
Tags
KIBURUDANI