| Kaimu Shekh Mkuu wa mkoa Ahmed Said akizungumza jambo katika mahafari hayo yaliyofanyikia ndani ya msikiti wa Gadafi yanakofanyikia mafunzo hayo bila garama zozote kwa wanafunzi |
| Mkurugenzi kituo cha Dodoma Ally Balawa akizungumza jambo katika mahafari hayo huku Mkurugenzi wa Jumiya Hiyo Amar Bashir Zayani na Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi Abdul Maulidi wakimuangalia |
| Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi Abdul Maulidi akikabidhi cheti cha kuhitimu kwa mmoja wa wahitimu |
| Baadhi ya wahitimu |
| Mkurugenzi Tamisemi akisistiza jambo |
| Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya kuulingania uislamu Duniani pamoja na wenyeji wa msikiti wa Gadafi wakiwa meza kuu |
| Picha ya pamoja na wahitimu |
Tags
ELIMU