Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John
Pombe magufuli akimuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24,
2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John
Pombe magufuli akimkabidhi vitendea kazi mara baada ya kumuapisha
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis
Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John
Pombe magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa
Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi
wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016 Kushoto
akisimamia zoezi hilp ni Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John
Pombe magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora
Mhe. Angellah J. Kairuki, Mwanasheria Mkuu
wa Serikali Mhe George Masaju na Katibu Mkuu kiongozi Engineer John
Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na
usalama baada ya kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016
PICHA NA IKULU
Tags
HABARI KITAIFA