BANDA MEDIA BLOG

ABIRIA WANAOTUMIA USAFIRI WA DALADALA MJINI DODOMA WAMEKWAMA KUPATA USAFIRI HUO KWA SAA KADHAA KUTOKANA NA MADEREVA WA GARI HIZO KUGOMA

Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Marson Mwakyoma akitoa maelekezo kwa madereva wa daladala waliokuwa wamegoma kutoa huduma ya usafiri kutokana na kulalamikia kukamatwa mara kwa mara na polisi wa usalama barabarani nakutozwa faini zisizo na kikomo.

Mwenyekiti wa umoja wa wenye Daladala Mzee Bangiadi akizunguza jambo kituoni hapo


Askari wa kikosi cha usalama Barabani wakijadili jambo katika kituo cha Daladala cha Jamatini wakati kukiwa hakuna gari hizo za usafiri kutokana na Madereva wake kugoma  IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Abiria wakiwa katika kituo cha daladala cha Jamatini jana walipokuwa wakisubiri usafiri huo bila mafanikio kutokana na madereva wa usafiri huo kugoma kutokana na kupinga kukamatwa na kutozwa faini mara kwa mara.

 asikari wa kikosi cha kutuliza ghasia akiwaelekeza jambo abiria waliokuwa katika kituo cha daladala cha jamatini kusubili usafiri huo wakati madereva wake wakigoma kutoa huduma hiyo wakishinikiza kuacha kukamatwa na polisi wa usalama barabarani.


Abiria wakipishana kupanda pikipiki ya mataili matatu maarufu kama Bajaj baada ya kukosa usafiri wa Daladala katika kituo cha Jmatini kutokana na maderva kugoma kwa madai ya kukamatwa na kutozwa faini mara kwa mara









7

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG