September 10 2016 lilitokea
tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha 5.7 na
kusababisha vifo vya watu 16 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa ambapo
ndani ya saa 24 baadae (September 11 saa nne usiku) likatokea tena
tetemeko jingine dogo ambalo halikua na madhara.
Mwimbaji wa smash hit ya ‘mume bwege’
Bushoke amesema miongoni mwa wakazi wanaolala kwa majirani baada ya
nyumba zao kubomolewa na tetemeko hilo ni pamoja Bibi yake
‘Bibi yangu ambaye ni mke
wa Babu yangu Mzee Bushoke huko Ibwera yaani nyumba yake imevunjika
lakini yeye ni mzima kabisa kwahiyo familia tupo kwenye mazungumzo
kuweza kumtengenezea nyumba akae sehemu salama‘
Tags
HABARI KITAIFA