BANDA MEDIA BLOG

CHAMA CHA WANAWAKE WAFANYABIASHARA [TWCC] CHATOA MAFUNZO YA UTETEZI NA USHAWISHI KWA VIONGOZI WA MAJUKWAA YA WANAWAKE ZA KUVUKA MIPAKA, MJINI DODOMA

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Christina Mndeme akizungumza jambo wakati alipokuwa akifungunga Mafunfunzo ya fulsa za kibiashara kwa viongozi wa majukwa ya wanawake wafanyabiashara za kuvuka mipaka iliyofanyika mjini Humo, kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha wanawake wafanyabiashara[TWCC] Jacqueline Maleko na kulia ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma Asha Tawfik

Mwenyekiti wa chama cha wanawake wafanyabiashara TWCC Jacqueline Maleko akifafanua jambo wakati akimkaribisha Mgeni rasmi kufungua mafunzo hayo ya siku mbili

Mkufunzi wa mafunzo ya utetezi na ushawishi kwa wanawake wafanyabiashara za kuvuka mipaka  Rose Mushi, akiongea na washiriki hao katika ukumbi wa Goden Clown Mjini Dodoma IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme, Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wafanyabiashara TWCC Jacquline Maleko na Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma Asha Tawfik wakijadili jambo nje ya ukumbi huo baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo

Mbunge wa Viti maalumu Dodoma Asha Tawfik Akiongea wakati akijitamburisha

Washiriki wakiwa ukumbini


Picha ya Pamoja



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG