| Nje ya Uwanja |
| Mashabiki wakinunua Tiketi za kuingilia katika mchezo huo |
| Mashabiki wa Simba ndani ya Uwanja |
| Mchezaji wa timu ya Polisi ya Dodoma inayoshiriki ligi daraja la kwanza Jonbosco Masanja akijaribu kumtoka Abdi Banda wa Timu ya Simba inayoshiriki ligi kuu IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
| Kikosi cha Polisi |
| Kikosi cha Simba |
| Naibu Spika wa Bunge Dk, Tulia Ackson akimpa mkono mchezaji wa simba Abdi Banda wakati alipokuwa akizikagua timu hizo kabla ya mtanange wao wa kirafiki |
| Mcheziji wa Polisi Dodoma Edward Amos akisalimiana na Spika wa Bunge wakati wa mtanange wao |
| Nahodha wa Timu ya Polisi ya Dodoma Christian Sembuli mwenye jezi nyeupe akisalimiana na Nahodha wa Timu ya Simba Mwinyi Kazimoto |
| pisha nipite |
| Kazimoto na Jonbosco wakimenyana katika mtanange huo |
| Shedrack Hango [Diego] wa Polisi akipambana na Mohamed Ibrahimu wa Simba |
| Sehemu ya Mashabiki wa Timu ya Simba wakifuatilia mtanange huo katika uwanja wa jamhuri |
| Mfungaji wa Goli la kwanza la Simba Abdi Banda akifurahia Goli lake kwa kugongeana mikono na shabiki wa timu hiyo |
| Dk 2 mpira kwisha |
Tags
MICHEZO KITAIFA