Ni stori ambayo aliitoa kipindi cha nyumba kidogo lakini leo nimeona
niwaletee na ninyi mtazame akielezea kilichomkuta na mpaka kupotea
kabisa katika anga za muziki wa Bongo Flava
.....Its so touching
yaai i cant watch this twice.
she is a good woman, really strong african woman
i like her style, naona rap style yake imebadilika. i like the song
Ushaurinwa bure, I think she can do wonders akifanya talk show.
there are so many women going through such paths, imagine hearing these
stories from Tanzanian women waliopo Tz