Mchezo wa Simba vs Yanga unavutia watu wengi kutokana na umaarufu wa
timu hizi mbili ambazo ndio zenye mashabiki wengi zaidi nchini.
Ma-star pia hawako nyuma katika ushabiki wa timu hizi na kila zinaposhika uwanjani huwa wanajitokeza kuzishuhudia zinavyopambana.
Hizi ni picha za baadhi ya mastaa ambao walikuwepo uwanja wa taifa wakati wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba uliomalizika kwa sare kufungana bao 1-1.

Tags
MICHEZO KITAIFA