Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akizungumza na
vyombo vya habari kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa
Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na
vyombo hivyo uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage wa
hazina ndogo. Wa pili kutoka kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akimsikiliza kwa makini.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu
mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa
watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na vyombo hivyo uliofanyika
mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage hazina ndogo. Wa pili kutoka
kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb)
akimsikiliza kwa makini.
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa vyombo vya habari
uliofanywa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) kuhusu mwenendo wa zoezi
linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa
umma,uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage uliopo hazina
ndogo.
Tags
HABARI KITAIFA