| Katibu wa Jukwaa la Wahariri,(TEF)Neville Meena akizungumza na Waandishi
wa Habari(hawapo pichani) kuhusu mapendekezo ya wadau wa habari ambao
kwa pamoja wametaka muswada wa sheria ya huduma za Habari,kujadiliwa
kwa zaidi ya miezi mitatu kushoto ni Rais wa UTPC Deogratius
Nsokolo,kulia Meneja wa Programu za MCT,Pili Mtambalike,Makamu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri(TEF) Deodatus Balile na Katibu Mtendaji
wa Wamiliki wa vyombo ya habari Tanzania(MOAT)Henry Muhanika. |