BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWIGULU NCHEMBA NA WAZIRI WANCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI ANGELLAh KAIRUKI, WAWEKA WAZI MAENDELEO YA UHAKIKI WA WATUMISHI WA UMMA

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusu uhakiki wa watumishi unaofanywa na mamlaka ya vitamburisho [NIDA] katika halmashauri zote nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi Angellah Kairuki akionngea jambo katika mkutano huo, ambapo yeye na Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba walikuwa wazungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya zoezi la uhakii kwa watumishi na kulia ni Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano Rose Mdami

Waandishi wa vyomba mbalimbali vya habari wakifuatilia mkutano huo [PICHA ZOTE NA JOHN BANDA]


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi Angela Kairuki akiwa katika mkutano huo

Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Rose Mdami akiwa ukumbini humo

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Project Rwegakiza akifuatilia jambo katika mkutano huo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG