Kikosi cha Jeshi la Wanamaji wa
Tanzania JWTZ kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar
es Salaam kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za miaka 55 ya
Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi
akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli,[Picha na Ikulu.]09/12/2016.
Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa
JKT kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es
Salaam,kwa Gwaride la mwendo wa polepole katika sherehe za miaka 55 ya
Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi
akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli,[Picha na Ikulu.]09/12/2016.
Kikosi cha Jeshi la Polisi
wanawake kikipita mbele katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam,kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za miaka 55
ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi
akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli,[Picha na Ikulu.]09/12/2016.
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa
Tanzania JWTZ Makomandoo kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru
Jijini Dar es Salaam,kwa mwendo wa kurukaruka katika sherehe za miaka
55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni
rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli,[Picha na Ikulu.]09/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam Mhe,Paul Makonda baada ya kumalizika kwa sherehe za miaka
55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru
Jijini Dae es Salaam, [Picha na Ikulu.]09/12/2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (katikati) pamoja na Viongozi mbali
mbali wa Kitaifa wakisimama kupokea salama ya heshma ya Vikosi vya
Ulinzi na Usalama kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za
miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa
Uhuru Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 09/12/2016.
Askari wa Jeshi la wanmanchi wa
Tanzania JWTZ kikosi cha makomandoo wakivuta gari la kijeshi kuonyesha
ukakamavu wao katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kama
wanayoonekwa pichani,[Picha na Ikulu.]09/12/2016.
Tags
HABARI KITAIFA