Timu ya Taifa ya mpira wa miguu
unaochezwa ufukweni (Beach Soccer) ya Tanzania imeifunga Uganda mabao
7-5 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo Ijumaa
Desemba 9, 2016 kwenye Viwanja vya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na
Jackson Msilombo, Kessy Ngao, Heri Sassii na mtunza muda, Idd Maganga
mabao ya Tanzania yalifungwa na Samwel Opanga aliyefunga la kwanza, la
sita na saba wakati mengine yalifungwa na Kashiru Salum, Ally Babby na
Ahmada Abdi aliyefunga
Tags
MICHEZO KITAIFA