
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh.
Ridhiwani Kikwete Disemba 8,2016 amafanya ziara ya kushitukiza katika
vijiji vya jimbo lake kukagua Miradi ya kimaendeo ambayo inaendelea
katika Jimbo lake kuangalia utekelezaji wa miradi hiyo,
Katika kijiji cha Kwakonje Shule
ya msingi kulikuwa na changamoto kubwa ya vyumba vya Madarasa lakini
tayari ujenzi umeanza katika shule hiyo pamoja na Shule ya Msingi
Kibindu, Mbali na Shule katika vijiji hivi changamoto nyingine kubwa ni
Maji pamoja na Barabara lakini kupitia Mh Mbunge Ridhiwani tayari
wamerekebisha barabara ya kutoka Kwaruhombo kwenda kwa Mduma ambayo
ni KM 8 iliyokuwa kero kubwa na wamechimba visima kwa msaada wa wadau
kutoka Uturuki katika kijiji cha Kwamsanje
Pia kutokana na mvua kutonyesha
vizuri mwaka jana katika vijiji hivyo kuna changamoto ya uhaba wa
chakula ambapo kupitia ofisi ya mbunge ziliombwa tani 1200 katika
ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha maafa na zikapatikana tani 200 kwa
awamu ya kwanza lakini sasa zimepatikana tani 400 zingine ili chakula
hicho kigawiwe kwa wananchi wa vijiji hivyo ,

Mh Ridhiwani akizungumza na
wanakijiji wa Kibindu katika mkutano baada ya kufanya ziara ya
kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.

Mh Ridhiwani akifungua mani
katika kisima kilichojengwa kwa msaada wa watu wa Uturuki kupitia Ofisi
ya Mbunge katika kijiji cha Kwamsanje baada ya kufanya ziara ya
kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.

Kisima kilichojengwa kwa msaada
wa Waturuki kupitia Ofisi ya Mbunge kuondoa adha ya kero ya mani
iliyokuwa ikiwakabiri wanakijiji wa Kwamsanje kwa muda mrefu.

Mh Ridhiwani akizungumza na
watoto wakijiji cha Kwamsanje baada ya kufanya ziara ya kushitukiza
kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake.

Mh Ridhiwani akishirikiana na
mwenyekiti wa kijiji cha Kwamsanje kufungua maji kwatika kisima
kilichojengwa na watu wa Uturuki kupitia Ofisi ya Mbunge baada ya
kufanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo
lake.

Mh Ridhiwani Kikwete akiwaunga
mono wafanya biashara ya Machungwa katika kijiji cha Kibindu
alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika
Jimbo lake la Chalinze.


Mh Ridhiwani Kikwete akiwaunga
mono wafanya biashara ya Machungwa katika kijiji cha
Kibindu alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo
katika Jimbo lake la Chalinze.

Mh Ridhiwani Kikwete akiangalia
maendeleo ya vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Kwakonje
alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika
Jimbo lake la Chalinze.

Mh Ridhiwani Kikwete na Diwani wa
Kata ya Kibindu Mh Mkufya wakiangalia maendeleo ya vyumba vya Madarasa
katika Shule ya Msingi Kwakonje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa
miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.


Mh Ridhiwani Kikwete akizungumza
na Mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Kwakonje maendeleo
alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika
Jimbo lake la Chalinze.




Mh Ridhiwani Kikwete akipata
maelekezo kuhusu ujenzi wa vyumba vya Madarasa na Vyoo katika Shule ya
Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya
kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.

Mh Ridhiwani Kikwete akipata
maelekezo kutoka kwe Diwani wa Kata ya Kibindu Mkufya kuhusu ujenzi wa
vyumba vya Madarasa na Vyoo katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara
ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la
Chalinze.

Mh Ridhiwani Kikwete akiwa katika
Madawati ambayo yako nje kutokana na uhaba wa vyumba vya
Madarasa katika Shule ya Msingi Pera alipofanya ziara ya kushitukiza
kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.





Mh Ridhiwani Kikwete akipata
Kahawa na Wazee wa kijiji cha Kibindu alipofanya ziara ya kushitukiza
kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze.


Mh Ridhiwani Kikwete akiagana na
baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Kibindu baada ya mkutano wa hadhara
alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika
Jimbo lake la Chalinze.

Mh Ridhiwani Kikwete akizungumza
na wanakijiji wa Kwamsanje alipofanya ziara ya kushitukiza kukaguwa
miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la Chalinze





Mh Ridhiwani Kikwete akisaini
kitabu cha wageni katika kijiji cha Kwamsanje alipofanya ziara ya
kushitukiza kukaguwa miradi ya kimaendeleo katika Jimbo lake la
Chalinze.
Tags
HABARI KITAIFA