YOUNG Dee Aonyesha Uanaume...Akutana live na Mama na Mtoto Wake
byJohn Banda-
0
Baba, Mama na Mtoto !!!kwa pamoja tumpe Hongera Young D kwa kuikubali Damu yake...mama mtoto kafurahi mpka rahaa!!! kweli instagram ni mtandao mzuri matatizo mengi yanapata ufumbuzi. 👌👌.. TUPIA NENO MOJA KWAO.