BANDA MEDIA BLOG

SAMATTA APEWA WAROMANIA, POGBA KWA POGBA 32 EUROPA LEAGUE


MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta na timu yake, KRC Genk watakutana na FC Astra Giurgiu ya Romania katika hatua ya 32 michuano ya Europa League.
Kiungo wa Manchester United ya England, Paul Pogba wao watakutana na St Etienne, timu anayaochezea mdogo wake, beki Florentin.
Ratiba kamili ya 32 Bora ya Europa League imetoka leo na mechi za kwanza zitachezwa Februari 16 wakati marudiano yatakuwa Februari 23, mwakani. 
Mbwana Samatta ataiongoza Genk dhidi ya FC Astra Giurgiu ya Romania katika hatua ya 32 michuano ya Europa League PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

RATIBA YA EUROPA LEAGUE HATUA YA 32 BORA 

Athletic Bilbao v Apoel Nicosia
Legia Warsaw v Ajax
Anderlecht v Zenit St Petersburg
FC Astra Giurgiu v Genk
Man Utd v St Etienne
Villarreal v Roma
Ludogorets v FC Copenhagen
Celta Vigo v Shakhtar Donetsk 
Olympiacos v Osmanlispor
AA Gent v Tottenham
Rostov v Sparta Prague
Krasnodar v Fenerbahce
Borussia M'gladbach v Fiorentina
AZ v Lyon
Hapoel Beer Sheva v Besiktas
PAOK Salonika v Schalke 04 
(Mechi za kwanza: Februari 16 
Marudiano: Februari 23, 2017

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG