Mchungaji wa kanisa la anglican mjini Dodoma akitoa mahubiri kwa waombolezaji waliofurika kanisani hapo kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu Dastan Waziri, uliozikwa januari 24,2017 [PICHA NA BANDA BLOG]
![]() |
| Waimbaji wa kwaya ya Safina ambayo alikuwa akiimbia Marehe Dastan Waziri Enzi za uhai wake, wakiimba kwa majonzi wimbo maalumu wa Kumuaga katika kanisa hilo |
![]() |
| Ndugu wa Marehemu wakilia kwa uchungu wakati wa kuuaga mwili wa marehemu DAS baada ya ibada katika kanisa la anglican |
![]() |
| Udongo kwa Udongo, Mavumbi kwa Mavumbi Nengda Das, Mungu amekupenda zaidi |
![]() |
| Waimbaji wa kwaya ya Safina wakilizunguka kaburi kwa picha ya pamoja alilozikwa Marehemu DAS aliyekuwa Muimbaji wa kwaya hiyo Enzi za uhai wake, kaburi hilo lipo makaburi ya Nkhungu mjini Dodoma |
Tags
TANZIA









