Mlezi
wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa mkoa wa Kaskazini B, Unguja wakati
wa Kufungua Mafunzo maalum ya Viongozi na watendaji wa Chama Cha
Mapinduzi na Jumuiya zake wa ngazi ya Matawi, Wadi na Majimbo
Wana CCM wa Kaskazini B wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mafunzo ya Uongozi yaliofunguliwa na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan.
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifundisha kwa vitendo masuala ya Uongozi kwa wakazi wa mkoa wa Kaskazini B, Unguja
wakati wa Kufungua Mafunzo maalum ya Viongozi na watendaji wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa ngazi ya Matawi, Wadi na Majimbo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kaskazini ,Unguja, Ndugu Juma Haji akihutubia kabla ya kumkaribisha Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kufungua mafunzo maalum ya Uongozi yaliofanyika Mkokotoni Kaskazini B,Unguja kwenye Chuo cha Amali.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimjulia hali Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani Mzee Ali Ameir
nyumbani kwake Donge Kichavyani, Zanzibar
Tags
SIASA