BANDA MEDIA BLOG

MMILIKI WA KIWANDA CHA MAGODORO DODOMA HAIDALY GULAMALI ATOA MSAADA WA MAGODORO 100 YENYE THAMANI YA 6.2 MILION KATIKA HOSPITAL YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA, HUKU AKIWEKA WAZI UJENZI WA KIWANDA CHA KUKAMUA ALIZETI

Mbunge wa Dodoma mjini Anthon Mavunde wakipeana mikono na Kamanda wa Umoja wa vijana mkoa wa Dodoma Haidaly Gulamali wakati kamanda huyo alipokuwa akikabidhi msaada wa Magodoro 100 aliyoyatoa katika hospital ya Rufaa ya mkoa huo, anayeshuhudia ni Mganga mkuu wa Haspital hiyo Dkt, James Kiologwe
Naibu Waziri wa Kazi Ajira na Vijana Anthon Mavunde akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Kiwanda cha Kukamua Alizeti kinachojengwa mjini Dodoma na Mmiliki wa Kiwanda cha magodoro Dodoma Haidaly Gulamali aliyeambatana nae katika ziara hiyo

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme akionyshwa Mchoro ya kiwanda cha kukamua Alizeti kinachojengwa mjini humo na mmiliki wa Kiwanda cha Magodoro Dodoma Haidaly Gulamali ambapo kiwanda hicho ambacho kitawawezesha wakulima wa zao hilo kupata soko la uhakika na vijana wengi kupata ajira,  kinatarajiwa kugalimu Bilion 4.5 mpka kitakapo kamilika


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG