BANDA MEDIA BLOG

SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JOB NDUGAI AKUTANA NA S[IKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZUBEIR ALI MAULID MJINI DODMA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akimsikiliza Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali Maulid, anaefuta ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Hassan Juma (wa pili kulia) na Katibu wa Bunge Ndg.Raya Issa Mselemu (kulia) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akizungumza na Ugeni kutoka Bunge la Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  anaefuata ni  Spika wa Bunge la Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali Maulid, Naibu Spika Mhe. Hassan Juma na Katibu wa Bunge la Baraza la Wawakilishi Ndg. Raya Issa Mselemu (kulia) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.




Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Kulia) akimkabidhi Vitabu Vitatu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid (Kushoto) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Vitabu hivyo ambavyo ni kanuni za kudumu za Bunge ya Kiswahili, kanuni za kudumu za Bunge kwa Kingereza na Kitabu cha Orodha ya Wabunge.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)







Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG