![]() |
| Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Godwini Kunambi akizungumza jambo wakati wa kikao cha Baraza Hilo waliokaa ni Mstahiki Meya Prof Davis Mwamfupe na Naibu Meya Jumanne Ngede |
![]() |
| Madiwani wakiwa katika ukumbi huo wakati kikao kikiendea PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG |
![]() |
| Diwani kata ya Chang'ombe Bakay Fundikila [CCM] |
![]() |
| Mhandisi wa Manispaa ya Dodoma Lusako Kilembe |
![]() |
| Diwani Kata ya Madukani Said Kitegile [CHADEMA] |
![]() |
| Diwani kata ya Kikuyu Kusini Kutika Hans [CCM] |
![]() |
| Diwani Kata ya Makulu Mh. Matula [CHADEMA] |
![]() |
| Diwani wa Mbabara Pascazia Mayala [CCM] |
![]() |
| Diwani Kikombo Yona Kusaja [CHADEMA] |
![]() |
| Afsa Elimu Msingi wa Manispaa Mwisungi Kigosi |
KITENDO kilichowahi kufanywa na watu wasio waaminifu
kwenye upangaji wa walimu katika shule za msingi za Manispaa ya Dodoma cha
kuwapanga walimu kwa upendeleo na kuwajaza shule za mjini kimeendelea kuiumiza
halmashauri hiyo kutokana na shule nyingi za pembezoni kukosa walimu wa kutosha
Hayo yamesemwa na Afsa Elimu Msingi wa Manispaa ya
Dodoma Mwisungi Kigosi ambaye alitakiwa kujibu Swali la Diwani wa Kata ya
Kikombo Yona Kusaja wakati wa maswali ya papo kwa papo kwenye kikao cha baraza
la Madiwani ambapo alitaka kujua mkakati wa manispaa hiyo kuongeza walimu
katika shule zilizopo pembezoni.
Awali akiuliza swali hilo Diwani wa Kata ya Kikombo
Yona Kusaja alisema Shule msingi Kikombo
ina walimu 1,433 Ikiwa na walimu 11 huku shule ya msingi Chololo ikiwa na
wanafunzi 733 ikiwa na walimu 6
Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Godwin
Kunambi amesema Rasilimali Fedha ni Changamoto lakini hata hivyo walimu
watakaohamia watapangiwa shule za
pembezoni
Tags
MADIWANI DOM











