BANDA MEDIA BLOG

No title

 ASAKWA NA POLISI BAADA YA KUKATA CHUCHU NA NYETI ZA MPENZI WAKE


Mwanamke aliyekatwa na mpenzi wake

***
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamsaka mwanaume ajulikanaye kwa jina moja la Masudi kwa tuhuma za kumkata chuchu na sehemu zake za siri na kitu chenye ncha kali mpenzi wake ambaye jina lake limehifadhiwa.


Akizungumza hii leo Oktoba 11, 2022, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng'anzi, amesema tukio hilo limetokea wilayani Magu katika msitu wa Sayaka ambapo mwanaume huyo anadaiwa kumchukua mpenzi wake huyo na kutekeleza unyama huo kisha kukimbia kusikojulikana.

Chanzo - EATV

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG