NAIBU WAZIRI 'MWANA FA' APAGAWISHA MKUTANO WA CHONGOLO TANGA
Naibu
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mbunge wa Jimbo la Muheza,Hamis
Mwinjuma maarufu Mwana FA akitumbuiza wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu
wa CCM, Komredi Daniel Chongolo wa kutoa elimu sahihi kuhusu uwekezaji
wa Bandari ya Dar es Salaam mjini Korogwe Tanga Julai 19,2023.
Mwana FA akipongezwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Chongolo baada ya kutoa burudani ya aina yake kwenye mkutano huo.