BANDA MEDIA BLOG

No title

Mashabiki wa Klabu ya ASEC Mimosas Wakiijia juu kitendo cha Wachezaji wao Kukimbilia Tanzania



Mashabiki wa Klabu ya ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast wamechukizwa na kuondoka kwa Kramo, Yao na Zougrana.


Uongozi wa klabu umetoa ufafanuzi ni kwa nini hasa imeamua kuachana na nyota hao ndani ya kikosi chao.

"Wamekiri kuwa wana kiwango kikubwa cha mishahara,wakati hali ya uchumi kama klabu kwao mgumu

Wachezaji wameondoka kwa sababu walipewa ofa kubwa ambazo wao hawana uwezo wa kuwapa.

Simba na Yanga kwa nyakati kadhaa msimu huu wamebeba wachezaji kutoka katika Klabu hiyo.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG