BANDA MEDIA BLOG

No title

MAOFSA  TOKA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI (CAG) WAKAGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU YANAYOENDELEA JIJINI DODOMA.....!!!!

                                                       Maelezo mbaimbali yakitolewa



Baadhi ya Wateja waliofika katika maonyesho hayo wakisaid kitabu cha wageni baada ya kupata Elimu katika Banda la Wizara ya ARIDH.

Naibu Mkaguzi Mkuu, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (CAG) Wendy Massoy akimsikiliza Mmoja wa Maofisa wa Sekretaliet ya Utumishi wa Umma
Msaidizi wa mkaguzi mkuu wa Ndani, Idara ya Mkaguzi mkuu wa Ndani wa Serikali Wizara ya Fedha, Kenneth Nide akiweka saini kwenye Banda la Sekretaliet ya Maadili wakati Ofisi hiyo ilipotembelea na kuona shughuli zinazofanywa kwenye Mabanda hayo.



                                              (PICHA ZOTE NA BANDA MEDIA)
 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG