NAIBU WAZIRI KIKWETE : TUTASHIRIKIANA KATIKA KUBORESHA OFISI YA NYARAKA ZANZIBAR
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar waliofanya zaira leo katika Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Kanda ya Mashariki Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu wa namna ya kutunza na kuhifadhi nyaraka na kumbukumbu.Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Machano Said akizungumza na Wajumbe wa Kamati hiyo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar waliofanya ziara mara baada ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete kuwakaribisha katika Ofisi ya Rais, Idara ya Kumkbukumbu na Nyaraka za Taifa, Kanda ya Mashariki Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu wa namna ya kutunza na kuhifadhi nyaraka na kumbukumbu
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vituo vya Kumbukumbu, Gasper Kileo wakati akiwaonesha baadhi ya Nyaraka na Kumbukuku muhimu zinazopatikana katika Ofisi hiyo leo wakati walipotembelea Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Kanda ya Mashariki Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu wa namna ya kutunza na kuhifadhi nyaraka na kumbukumbu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Machano Said akiwa kwenye picha na baadhi ya wajumbe wa timu ya menejimenti ya Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar mara baada ya kufanya ziara katika Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Kanda ya Mashariki Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu wa namna ya kutunza na kuhifadhi nyaraka na kumbukumbu, wa pili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwaonesha baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar baadhi ya hotuba ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa wakati wa harakati za kudai uhuru wa Tanganyika wakati Wajumbe walipofanya ziara leo ya kutembelea Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Kanda ya Mashariki Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu wa namna ya kutunza na kuhifadhi nyaraka na kumbukumbu,





