BANDA MEDIA BLOG

DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (kulia)  pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba wakifurahia jambo mara baada ya kikao chao kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya Nishati kati ya nchi hizo mbili ambacho kimefanyika jijini Dodoma tarehe 11 Machi 2024.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati)  akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba (wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya Nishati kati ya nchi hizo mbili.

Kikao kimefanyika jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2024 na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ( wa Pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ( wa Kwanza kulia).

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG