BANDA MEDIA BLOG

RAIS DKT. SAMIA AREJESHA MIKOPO YA HALMASHAURI

 


ILE mikopo ya halmashauri iliyokuwa imesimamishwa na Serikali kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo wakopaji kutoirejesha sasa imetangazwa kurejeshwa,  utoaji wa mikopo hiyo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana, na Watu wenye Ulemavu.

Taarifa inasema Kuanzia mwezi Julai, 2024, vikundi hivi vitaweza kupata mikopo kwa kiwango cha asilimia 10.

Utaratibu wa kurejesha mikopo utahusisha Halmashauri 10 za majaribio, zikiwemo Majiji ya Dar es Salaam na Dodoma, Manispaa za Kigoma Ujiji na Songea, Miji ya Newala na Mbulu, Wilaya za Siha, Nkasi, Itilima na Bumbuli. Halmashauri zingine 174 zitatumia utaratibu ulioboreshwa ili kuhakikisha changamoto za awali zinatatuliwa.

Mikopo inayotarajiwa kutolewa ni jumla ya shilingi bilioni 227.96, ambapo sehemu ya fedha hizo ni marejesho kutokana na mikopo iliyotolewa awali, fedha zilizotengwa kwa ajili ya mikopo mpya, na fedha zilizotengwa kutokana na makusanyo ya mapato ya ndani ya mwaka 2024/25.

TWCC inashukuru juhudi za Serikali katika kuhakikisha vikundi hivi vinapata fursa ya kukuza biashara zao na tunawahimiza wanachama wetu kufuatilia

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG