BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO WILAYA RUFIJI MKOANI PWANI

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Pwani Abubakar Kunenge, wakati alipowasili wilayani Rufiji, mkoani Pwani kukagua athari za mafuriko kwenye eneo hilo. Hadi sasa waathirika 740 wako kambini. Aprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole wananchi wa Kata ya Chumbi wilayani Rufiji, mkoani Pwani wakati alipokagua athari za mafuriko kwenye eneo hilo. Hadi sasa waathirika 740 wako kambini. Aprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Chumbi wilayani Rufiji, mkoani Pwani wakati alipokagua athari za mafuriko kwenye eneo hilo. Aprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG