BANDA MEDIA BLOG

Kocha Gamondi Amtetea FARID Mussa Kubaki Yanga, Eng Hersi Asalimu Amri

 

Kocha Gamondi Amtetea FARID Mussa Kubaki Yanga, Eng Hersi Asalimu Amri
Kocha Gamondi na Farid Mussa

Baada ya kikao cha muda mrefu kati ya Rais wa Klabu Hiyo, Eng. Hersi Said, Mdhamini wa Klabu, Ghalib Said Mohammed (GSM), Meneja wa Farid, Oscar Oscar pamoja na mchezaji mwenyewe makubaliano yaliyofikiwa ni kuwa Farid Mussa atasalia Yanga SC misimu mingine miwili hadi (2026)


Farid Mussa amesalia Jangwani kutokana na matwaka ya kocha, Miguel Gamondi ambaye aliueleza uongozi wa Yanga kuwa bado anahitaji huduma ya Farid katika misimu ujao wa 2024/25.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG