BANDA MEDIA BLOG

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MACHIFU CHAMWINO JIJINI DODOMA



[7/20, 2:54 PM] Tinnah Maelezo: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwa kwenye picha ya pamoja na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Julai, 2024.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG