BANDA MEDIA BLOG

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

 


 Askofu Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), la Ipagala jijini Dodoma,  akiishukuru Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kulipatia usajili wa kudumu kanisa hilo kuendesha shughuli zake hapa nchini.

Shukrani  hizo amezitoa  wakati wa semina elekezi kwa wachungaji wa kanisa hilo Agosti 22, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG