BANDA MEDIA BLOG

MHE. RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC – ORGAN TROIKA SUMMIT HARARE

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati  nyimbo za taifa zikiimbwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit), Harare nchini Zimbabwe, leo tarehe 16 Agosti, 2024.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya ya Rais – Ikulu, Zanzibar, Mhe. Ali Suleiman Ameir (MBW) wakiwa katika mkutano huo. 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax  wakishiriki katika mkutano huo. 

PICHA NA JOHN BUKUKU-HARARE ZIMBABWE

 

Viongozi kutoka mataifa mbalimbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCSADC wakishiriki katika mkutano huo. 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG