BANDA MEDIA BLOG

RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI VIONGOZI MBALIMBALI, HUKU AKIWAREJESHA PROF. KABUDI NA LUKUVI KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI



 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani amefanya Uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, wakiwemo Prof. Palamagamba Kabudi na William Lukuvi ambao wamerejeshwa tena katika Baraza la Mawaziri.

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka, Pamoja na Wawili hao Viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vyao vya kazi ni kama wanavyoonekana katika orodha........!!!!!

    

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG