Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua barabara ya Kilosa -Rudewa (km 24) pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Kilosa Mkoani Morogoro hafla iliyofanyika Kilosa Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuhusu uzalishaji wa mbegu unaofanywa na Wakala wa Uzalishaji wa Mbegu za Kilimo (ASA) Kilosa Mkoani Morogoro tarehe 03. Agosti, 2024.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kilosa Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.