BANDA MEDIA BLOG

UWAKI WAUNGANA NA KANISA ANGLIKANA TANZANIA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DODOMA

NA JOHN BANDA, DODOMA

Ni katika kanisa la Anglikana Tanzania la mtakatifu Yohana Kikuyu Jijini Dodoma, Ndipo wakina mama wa Ushirika wa wamama wa kanisa hilo walipokusanyika leo Desemba 22,2024, kwa lengo la kupeleka ujumbe wa kupinga ukatili wa kijinsia kupitia kanisa hilo ambapo yameanza na maandamano kisha ibada nzima ikatawala buradani za ngonjera, nyimbo za kwaya salamu na mahubiri ya neno la Mungu.

 Ujumbe mkubwa ukiwa kile unachotaka kutendewa,  usimtendee mwengine huku ukibebwa na kauli mbiu isemayo "Tuungane pamoja kutokomeza Ukatili wa Kijinsia"  neno kuu likitoka Isaya 58;1











Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG